Serikali ya Uingereza imetoa ruksa kurejea kwa ligi hiyo na matukio yote ya kimichezo kuanzia mwezi June 1, ila pasipo kuwa na mashabaki ili kuangalia kwanza taratibu za afya kwani bado Corona ipo.
Serikali nchini humo ilisimamisha shughuli zote za kimichezo kutokana na janga la Corona lililoikumba Dunia mwezi Machi.