Monday, May 5, 2025
Home Makala Kumenoga Kmc,M-bet Washusha Neema

Kumenoga Kmc,M-bet Washusha Neema

by Sports Leo
0 comments

Timu ya manispaa ya kinondoni (Kmc) imeingia udhamini mnono wenye thamani ya Bilioni moja na kampuni ya kubashiri ya M-bet baada ya kusaini mkataba wa miaka mitano.

Akiongea na waandishi wa habari wakati wa hafla ya kutia saini makubaliano hayo meya wa manispaa hiyo Benjamini Sitta alisema mkataba huo utakua unaboreshwa kila mara ikiwemo kuongeza bonasi na kusaidia ujenzi wa uwanja mpya wa klabu hiyo.

Naye afisa masoko wa M-bet amesema wamesukumwa kuidhamini timu hiyo baada ya kuwa na uongozi imara “tumeamua kuidhamini timu hii baada ya kuona  timu inaongozwa kiuweledi huku kukiwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.