Connect with us

Makala

Offside Zamuibua Mwakyembe

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe kupitia jamhuri ya muungano wa Tanzania ameliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kufuatilia kwa karibu malalamiko yote yanayotolewa na wadau wa soka mara kwa mara katika Ligi Kuu na ligi nyingine
Dk Mwakyembe ameliagiza Baraza hilo kutoa mrejesho wa agizo hilo ndani ya siku tatu
“Wizara inaendelea kupokea tuhuma mbalimbali za uonevu katika mashindano ya Ligi mbalimbali za mpira wa miguu yanayoendelea nchini lakini wadau hawaoni hatua zikichukuliwa mara moja na kupatiwa mrejesho” alisema dkt.Mwakyembe

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala