Wednesday, May 7, 2025
Home Makala Mukoko Azidi Kuchora Mabao Yanga

Mukoko Azidi Kuchora Mabao Yanga

by Sports Leo
0 comments

Tunombe mukoko ameiongoza Yanga Sc kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana katika uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi Jijini Dar-es-salaam.

Mukoko alipachika bao la kwanza dakika ya 10 kupitia kona ya Carols Carinhos huku dakika ya 20 mbele nyota huyo alicheka na nyavu tena baada ya mabeki wa KMKM ya Zanzibar kujichanganya katika harakati za kuokoa hatari.

Mchezo huo wa kirafiki ulikuwa na lengo maalum la kukiweka kikosi cha Yanga fiti kwa kwa ajili ya raundi ijayo ya ligi kuu bara ambapo itachuana dhidi ya Coastal Union katika uwanja wa Mkapa Octoba, 3.

banner

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.