Kesi ya Benard Morrison na Yanga Sc imeisha baada ya mchezaji huyo kushinda kesi yake kuhusu mkataba wake dhidi ya timu ya Yanga baada ya kuonekana kuwa mkataba huo una …
usajili
-
-
Leo Agosti 12 Azam Fc imeingia mkataba wa miaka miwili na beki wa kushoto kutokea Mbao Fc, Emmanuel Charles kwa usajili huru. Charles amekuwa na kiwango bora ndani ya Mbao …
-
Mshambuliaji aliyekuwa anakipga ndani ya CD Tennerife ya Hispania,Farid Mussa ametangazwa rasmi leo kuwa mali ya Yanga baada ya kumwaga wino wa kuitumikia klabu hiyo kwa dili la miaka miwili. …
-
Tottenham Hotspurs imekamilisha usajili wa kiungo Pierre-Emile Hojbjerg kutoka Southampton kwa dili la miaka mitano baada ya utaratibu wa vipimo kukamilika. Pierre amejiunga na klabu hiyo kwa dau la thamani …
-
Kiungo mshambuliaji wa Yanga,Benard Morrison ametambulishwa rasmi leo ndani ya kikosi cha Simba ukiwa ni usajili wa kwanza kwa ajili ya msimu wa 2020/2021. Thamani ya dau lake linatajwa kuwa …
-
Mchezaji wa Azam Fc,Mbaraka Yusuph amesaini kandarasi ya miaka miwili kuichezea timu yake ya zamani ya Kagera Sugar baada ya mkataba wake kumalizika ndani ya Azam. Mbaraka alisajiliwa hapo awali …
-
Dodoma Fc imefanikiwa kunasa saini ya kiungo aliyekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga kwa mda mrefu,Cleofas Mkandala kutoka TanzaniaPrisons. Afisa habari wa Dodoma Fc,Ramadhani Juma amesema kuwa baada ya dirisha kubwa …
-
Inaelezwa kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison anaweza kuonekana akiwa kwenye uzi mweupe na mwekundu kwani tayari amemalizana na uongozi wa Smba hivyo mda wowote anaweza kutangazwa. Mkurugenzi wa Uwekezaji …
-
Liverpool ambao ni mabingwa wa ligi kuu England wamekutana na ukuta wa kumpata beki wa Norwich City,Jamal Lewis baada ya thamani yake kuwa kubwa kuliko waliyoiweka mezani. Dau ambalo Liverpool …
-
Beki wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ amesaini dili la miaka miwili leo Agosti 6 kuitumikia klabu ya Yanga akitokea MFK Vyskov ya Serbia. Ninja alirejea nyumbani Tanzania baada ya …