Mshambuliaji wa klabu ya Fountain Gate Fc Selemani Mwalimu Gomez amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Septemba kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi kuu nchini (Tplb). Mshambuliaji …
Tplb
-
-
Beki tegemezi wa klabu ya Yanga sc Dickson Job amefungiwa na shirikisho la soka nchini kupitia kamati ya tathmini ya michezo ya bodi ya ligi kuu nchini kwa kosa la …
-
Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa majembe mapya yaliyosajiliwa na klabu hiyo kipindi hiki cha dirisha dogo la usajili yataanza kuonekana rasmi kwenye michuano ya Mapinduzi cup inayotarajiwa …
-
KIUNGO wa Young Africans SC ya Dar es Salaam, Mukoko Tonombe, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Oktoba msimu wa 2020/21. Mwezi huo wa Oktoba, Yanga ilicheza michezo minne, ikiwa …
-
Klabu ya Young Africans Sc imetozwa faini ya laki tano (500,000) kwa kosa la mashabiki wa timu yake kuonyesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kuwapiga na kuwachania jezi mashabiki …
-
Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imeufungia uwanja wa Ushirika uliopo jijini Moshi mkoani Kilimanjaro kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na kukosa baadhi ya sifa za kikanuni kama zilivyoainishwa …
-
Bodi ya Ligi Tanzania Bara (TPLB) imebadilisha ratiba ya mchezo namba 338 wa ligi kuu Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar dhidi ya Yanga uliokuwa ufanyika Alhamisi ya July 09 …
-
Bodi ya ligi nchini(TPLB) Â imetoa shilingi milioni moja (1,000,000) kwa klabu za ligi daraja la kwanza na daraja la pili ili ziwasaidie kumalizia msimu wa 2019/20 unaorejea rasmi kuanzia Juni …
-
Mechi zilizosalia za ligi kuu Tanzania Bara zitagharimu zaidi ya Sh 417 milioni ambazo zitatumika katika uendeshaji kwa timu na malipo ya posho kwa waamuzi na maofisa wengine wanaosimamia michezo …
-
Bodi ya ligi kuu Tanzani imetolea ufafanuzi ombi la kocha mkuu wa klabu ya Azam fc Aristica Cioaba aliyeomba kuongezwa idadi ya wachezaji wa kufanyia mabadiliko kutoka watatu mpaka watano. …