Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Yanga Nasreedine Nabi ameweka wazi uhitaji wake wa wachezaji wapya kwenye dirisha hili dogo la usajili linaloendelea hapa nchini. Katika mahojiano baada ya …
tetesi
-
-
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anatafakari uwezekano wa kumsajili beki wa kushoto wa Bayern Munich na Austria David Alaba, 28, msimu huu wa joto. (Mirror) Ajenti wa Kevin …
-
Barcelona imehusishwa na usajili wa mshambuliaji wa Inter Milan Lautaro Martinez 22 lakini afisa mkuu mtendaji wa klabu hiyo Giuseppe Marotta anasema kwamba mchezaji huyo wa Argentina hajakuwa na hamu …
-
Borussia Dortmund itahitaji kulipwa pauni milioni 115 ili kumuuza mchezaji wa England mwenye umri wa miaka 20 Jadon Sancho. (Telegraph) Winga wa Crystal Palace na Ivory Coast Wilfried Zaha, 27 …
-
Beki wa kushoto wa England Ben Chilwell 23, anashawishiwa na kujiunga na Chelsea baadae msimu huu lakini bado hajaomba kuondoka Leicester City . (Mirror) Liverpool haitapambana na Chelsea kwa ajili …
-
Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City, raia wa Ujerumani Leroy Sane , 24,na Kai Havertz, 20, kutoka Bayer …
-
Arsenal huenda ikampoteza mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, ambaye anatakiwa na Real Madrid. Raia huyo wa Gabon mwenye miaka 30 anatakiwa na Zinedine Zidane kuchukua nafasi ya mshambuliaji wa Inter …
-
Mshambuliaji waNigeria Odion Ighalo, 30, atalazimika kupokea paundi £200,000-kwa wiki ikiwa anataka kubadilisha-uhamisho wake wa mkopo Manchester United kutoka klabu ya Shanghai Shenhua inayoshiriki Super League ya China, ambako alikuwa …
-
Real Madrid iana matumaini ya kuishawishi Arsenal kumuachilia mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, 30. (Star) Mmiliki wa Leeds United Andrea Radrizzani amedokeza kuwa alijaribu kumsajili mshambuliaji wa Paris St-Germain na …
-
Real Madrid huenda ikamtimua kocha wake Zinedine Zidane na kumuajiri aliyekuwa kocha wa Tottenham Mauricio Pochettino ama aliyekuwa kocha wa Juventus Massimiliano Allegri.(Marca – in Spanish) Atletico Madrid inasalia na …