Ni kama ndio basi tena kwa timu ya taifa ya Tanzania (Taifa stars) baada ya jana kukubali kichapo cha mabao 3-2 dhidi ya majirani Harambee stars katika mechi iliyochezwa jijini …
taifa stars
-
-
Hakuna kuangaliana usoni baina ya nchi jirani za Tanzania na Kenya katika michuano ya Afcon ambapo leo watakutana katika raundi ya pili ya kundi C baada ya timu zote kupoteza …
-
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paulo Makonda amewasili nchini Misri kwenda kuipa hamasa timu ya taifa ya Tanzania kufuatia kupoteza mechi ya awali dhidi ya Senegali kwa mabao …
-
Beki mkongwe wa Tanzania Erasto Edward Nyoni ambaye alikua na majeraha yaliyomfanya kukosa mchezo wa ufunguzi wa fainali za mataifa ya Afrika(Afcon) dhidi ya Senegali imeripotiwa amepona majeraha hayo na …
-
Spika wa bunge la Tanzania Job Ndugai amewatembelea wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) katika hotel yao waliyoweka kambi nchini Misri Kujiandaa na Michuano ya mataifa ya Afrika …
-
Kiungo wa Simba sc Jonas Mkude amesaini kandarasi ya miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo ya kariakoo msimbazi jijini Dar es salaam baada ya mkataba wa awali kumalizika hivi karibuni. …
-
Timu ya soka ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) inatarajiwa kuagwa leo mchana katika kambi ya timu iliyopo katika hoteli ya Whitesand jijini Dar es salaam. Timu hiyo inatarajiwa kuondoka kesho …