Wayne Rooney aliwapa Derby County ushindi wa bao 1-0 uliowavunia alama tatu za kwanza katika ligi ya daraja la kwanza nchini Uingereza(Championship) katika mchezo wa jana Octoba 3,2020. Rooney alipiga …
Tag:
norwich city
-
-
Liverpool ambao ni mabingwa wa ligi kuu England wamekutana na ukuta wa kumpata beki wa Norwich City,Jamal Lewis baada ya thamani yake kuwa kubwa kuliko waliyoiweka mezani. Dau ambalo Liverpool …
-
Manchester wamejizolea ushindi wa mabao 4-0 kutoka kwa Norwich City mchezo uliochezwa jana uwanja wa Old Traford. Mabao mawili yalifungwa na Marcus Rashford la kwanza dakika ya 22 na bao …
-
Timu ya soka ya Manchester city chini ya kocha Pep Guardiola imechezea kipigo cha magoli 3-2 dhidi ya Norwich city katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza uliofanyika katika uwanja …
-
Timu ya Liverpool imeibuka na ushindi mnono wa magoli 4-1 dhidi ya Norwich City katika mchezo wa kufungua pazia la ligi kuu ya uingereza siku ya jana usiku katika mchezo …