Kocha wa zamani wa Yanga Sc, Mwinyi Zahera ametambulishwa rasmi Gwambina Fc kuwa kocha mkuu wa klabu hiyo ambayo imepanda daraja msimu huu wa 2019/20 na itashiriki ligi kuu bara …
Ngasa
-
-
Timu ya Yanga sc jana ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Coastal union katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na ligi kuu Tanzania bara iliyosimama kwa ajili ya …
-
Kocha Mwinyi Zahera amewateua Papy Kabamba Tshitshimbi na Mrisho Ngasa kuwa manahodha wapya kuelekea msimu mpya wa ligi kuu na michuano ya kimataifa ambayo timu hiyo itashiriki. Zahera amefikia uamuzi …
-
Baada ya kukamilisha usajili wa mastaa wa kigeni,Klabu ya Yanga chini ya Mwenyekiti Msomi Dk.Mshindo Msolla sasa wameamua kugeukia usajili wa mastaa wa ndani ambao mikataba yao imeisha. Timu hiyo …
-
Kiungo wa Yanga Mrisho Khalfani Ngassa amesema hana hofu juu ya kusaini mkataba mpya na timu baada ya ule wa awali kufika tamati msimu huu,Kiungo huyo mjanja mjanja amedai hahofii …