Inaelezwa kuwa klabu ya Yanga sc imemalizana na kocha wa klabu ya Namungo Hitimana Thierry kwenda kuwa msaidizi wa kocha Luc Eymael klabuni hapo. Hitimana ambaye alishafanya kazi na Luc …
Namungo fc
-
-
Kocha wa klabu ya Simba sc Sven Vandebroek amewaanzisha Benno Kakolanya na Yusuph Mlipili katika mechi dhidi ya Namungo mkoani Mtwara itakayochezwa katika uwanja wa Majaliwa.Kikosi kilichoanza ni: 01. Beno …
-
Klabu ya Yanga sc baada ya kulazimishwa matokeo ya suluhu ya bila ya kufungana juzi, kesho Jumatano Yanga itarejea uwanja wa Taifa kuumana na Namungo Fc katika mchezo ambao matokeo …
-
Timu ya Namungo Fc imeamua kuachana na masta waliokua wakiitumikia klabu hiyo kwa Mkopo kutoka Simba sc Mohamed Ibrahim na Paul Bukaba kutokana na kuonyesha utovu wa nidhamu uliokithiri. Awali …
-
Nahodha msaidizi na beki wa kulia wa klabu ya Yanga ,Juma Abdul ameupongeza uongozi wa timu hiyo katika harakati zake za kutaka kuwasajili Relliants Lusajo ambaye ni mshambuliaji wa Namungo …
-
Raia wa Burundi anayekipiga ndani ya Namungo FC ,Bigirimana Blaise amesema kuwa hana hiyana ya kutua ndani ya kikosi cha Yanga iwapo watafuata taratibu za usajili. Blaise kabla ya msimu …
-
Staa wa klabu ya Namungo Reliant Lusajo amesema hana presha endapo akisajiliwa na klabu ya Yanga kutokana na kuamini kiwango chake cha sasa. Lusajo aliyewahi kusajiliwa Yanga kisha kukosa nafasi …
-
Ligi kuu Tanzania Bara, ligi daraja la kwanza, ligi ya wanawake na masuala yote ya michezo yanayohusisha mjumuiko wa watu imesitishwa kuanzia leo na Serikali. Hii ni kutokana na kuisaidia …
-
Staika wa mabao kwenye klabu ya Yanga , DavidMolinga ‘Falcao’ amepokea barua inayompa siku tatu za kujieleza kwa nini asichukuliwe hatua za kinidhamu. Uongozi huo umetoa barua hiyo baada ya …
-
Habari njema ni kuwa kiungo mshambuliaji Bernard Morrison anaweza kurejea baada ya hali yake kuimarika kwa haraka baada ya kupata majeraha ya mguu. Morrison alipata majeraha kabla ya mchezo dhidi …