Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Dr. Harison George Mwakyembe ameshindwa kwenye kura za maoni kuteuliwa kugombea Jimbo la Kyela Mbeya kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mwakyembe amekuwa Mshindi wa Tatu …
mwakyembe
-
-
Bodi ya ligi kuu Tanzania bara(TPLB) imepangua ratiba ya ligi kuu kwa kubadili muda wa mechi kati ya Azam fc na Simba sc iliyopangwa kufanyika saa 11 jioni badala ya …
-
Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Mhe Harrison Mwakyembe ametoa pongezi hizo leo alipotembelea Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kuwapongeza na kuwatia hamasa viongozi wanaofanya kazi iliyotukuka katika …
-
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom imeingia mkataba wa miaka mitatu na shirikisho la soka nchini(Tff) kudhamini ligi kuu ya Tanzani bara kwa muda wa miaka mitatu kwa gharama …
-
Waziri wa mwenye dhamana ya michezo Harrison Mwakyembe ameruhusu usajili wa wachezaji 10 wa kigeni katika timu zinazoshiriki ligi kuu nchini. Awali Waziri Mwakyembe alitoa tamko linaloashilia kutokubaliana na idadi …