Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Maxi Nzengeli amekabidhiwa gari mpya aina ya Toyota Crown na mabosi wa klabu hiyo baada ya kufanya maboresho ya mkataba wake klabuni hapo. …
Tag:
Maxi
-
-
Mchezaji wa klabu ya Yanga sc Maxi Nzengeli Mpia pamoja na kocha Miguel Gamondi wamefanikiwa kuchukua tuzo ya kocha bora na mchezaji bora kwa mwezi wa nane huku meneja wa …