Kocha wa timu ya Barcelona Xavi Hernandez amekubali kuachia ngazi kuifundisha timu hiyo mwishoni mwa msimu huu hasa baada ya kukubali kipigo cha mabao 5-3 kutoka kwa Villareal katika michuano …
La liga
-
-
Kamati ya Mashindano nchini Hispania imetoa maamuzi kuhusu sakata la mchezaji wa Real Madrid, Vinicius Jr ambapo imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji huyo kwenye mechi dhidi ya Valencia na leo …
-
Mchakato wa mabadiliko katika klabu ya Yanga sc imefikia hatua nzuri baada ya rasimu yenye mabadiliko kutoka La liga kukabidhiwa kwa mshauri mkuu wa klabu hiyo Senzo Mazingiza tukio lililofanyika …
-
Taarifa kutoka nchini Hispania zinaeleza kuwa staa wa klabu ya Barcelona Lionell Messi na kocha wa klabu hiyo Quique Setien wamemaliza tofauti zao baada ya kufanya mazungumzo ili kuinusuru klabu …
-
Real Madrid iliyo chini ya Kocha Mkuu, Zinadine Zidane imejishindia taji la La Liga la 34 baada ya ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Villareal uliochezwa Uwanja wa Alfredo do …
-
Klabu ya Barcelona imeshushwa katika msimamo wa ligi kuu nchini Hispania baada ya jana kushindwa kuibuka na ushindi dhidi ya Atletico Madrid baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2. Barca …
-
Licha ya kumiliki mpira kwa asilimia 68 Barcelona wameshindwa kuibuka na ushindi walipoitembelea Sevila jana katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania (La liga). Barca walifanikiwa kupiga mashuti matatu pekee …
-
Timu ya Real Madrid jana iliibuka na ushindi wa magoli 3-0 Â dhidi ya Valencia katika mchezo wa ligi kuu nchini Hispania (La liga) mchezo uliofanyika katika uwanja wa Alfred Di …
-
Klabu ya Barcelona wameifunga Real Mallorca mabao 4-0 katika mchezo wa ligi kuu uliochezwa katika uwanja wa Mallorca jana nchini Hispania. Artulo Vidal alifunga bao la kwanza baada ya sekunde …
-
Taarifa za ndani ya Klabu zinadai kuwa baadhi ya mastaa wa klabu hiyo walikutwa na Virusi vya homa ya mapafu(Corona) japo haikuwa imewaathiri kiasi cha kutoonyesha dalili zozote zile. Taarifa …