Simba Sc imetambulisha jezi maalum zitakazotumika katika michuano ya African Football League (AFL) ikianza mechi ya ufunguzi ya robo fainali dhidi ya Al Ahly Oktoba 20 katika Uwanja wa Mkapa …
jezi
-
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kufanya uzinduzi wa jezi maalumu kwa ajili ya michuano ya kimataifa zenye nembo ya Visit Tanzania ambazo zitaanza kupatikana madukani kuanzia Februari 15 mwaka baada …
-
Siku chache baada ya klabu ya Yanga sc kutambulisha jezi mpya kwa ajili ya michuano ya kimataifa zenye nembo ya kampuni ya Hier kifuani mdhamini mkuu wa klabu hiyo Kampuni …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuzindua jezi zake toleo maalumu kwa ajili ya michuano ya kimataifa ambapo klabu hiyo inashiriki katika hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika. …
-
Jezi ya klabu ya Yanga sc zimekua gumzo mjini tangu kuzinduliwa kwake siku ya jana ambapo wanachama na mashabiki wa klabu hiyo wamejaa kila kona kuziombania jezi hizo zenye rangi …
-
Wadhamini wa klabu ya Yanga kampuni ya Gsm wamejitoa kuisaidia timu katika baadhi ya vitu ambavyo havimo katika mkataba kama kusaidia usajili pamoja na kulipa mishahara ya wachezaji na makocha …
-
Jezi ya kiungo wa Yanga Benard Morrison imeonekana kuwa lulu baada ya mashabiki kuigombania kama njugu hasa wakati wa mchezo baina ya watani wa jadi Yanga na Simba. Kwa mujibu …
-
Kufanya vibaya kwa klabu ya manchester united ndani ya uwanja kumeanza kuleta balaa baada ya mdhamini mkuu wa jezi za klabu hiyo kampuni ya magari ya General motor ambayo kupitia …
-
Jezi za timu ya Yanga ambayo leo itatupa karata yake katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kufuzu hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Zesco …
-
Ni mwaka wa neema jangwani ndi unavyoweza kusema kwa sasa baada ya timu hiyo kupokea dili nono la udhamini kutoka kampuni ya GSM kupitia magodoro ya Gsm foam ambao wameingia …