Ripoti kutoka Afrika Kusini zinaeleza kuwa kiungo wa Azam FC,Feisal Salum yupo katika rada za klabu ya Kaizer Chiefs ambayo inanolewa na Nassredine nabi ambaye aliwahi kufanya nae kazi wakati …
feisal
-
-
Taarifa za ndani zinasema kuwa kiungonwa Azam Fc Feisal Salum atakutana na viongozi wa klabu hiyo kujadili mkataba mpya siku ya ijumaa atakaporejea Dar Es Salaam baada ya mchezo wa …
-
Leo ndio mwisho wa ubishi wa nani anastahili tuzo ya mchezaji bora na kiungo bora wa msimu uliopita wa ligi kuu nchini baina ya Feisal Salum wa Azam Fc na …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam Fc Feisal Salum amekua kinara wa ufungaji wa mabao katika ligi kuu ya Nbc msimu mpaka sasa baada ya kufanikiwa kufunga mabao 11 katika …
-
Wachezaji Mudathir Yahaya wa klabu ya Yanga sc na Feisal Salumu wa klabu ya Azam Fc wako matatani kufungiwa mechi tatu na kupigwa faini ya shilingi laki tano kila mmoja …
-
Sakata la muda mrefu la kiungo Feisal Salum na klabu ya Yanga sc limefikia tamati baada ya klabu ya Azam Fc kuwasilisha ofa na hatimaye kumnunua mchezaji huyo na leo …
-
Mkurugenzi wa Sheria klabu ya Yanga Simon Patrick amesema msimamo wa klabu kuhusu mchezaji Feisal Salum ‘Fei Toto’ haujabadilika na kuwa walishafungua milango kwa mchezaji huyo kufuata utaratibu kama anataka …
-
Kiungo wa klabu ya Yanga sc Feisal Salum amerejea katika makao makuu ya shirikisho la soka nchini yaliyoko Karume jijini Dar es salaam akiomba kuvunjwa kwa mkataba wake na klabu …
-
Kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ya shirikisho la soka nchini Tanzania(TFF) imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na mchezaji Feisal Salum katika kesi yake ya kimkataba na klabu ya Yanga …
-
Video inayosambaa mitandaoni ikimuonyesha mama mzazi wa kiungo wa Yanga sc Feisal Salum imezua taharuki miongoni mwa wadau wa soka nchini kutokana na madai ya mzazi huyo kuwa mchezaji huyo …