Klabu ya Polisi Tanzania imethibitisha kuuhamisha mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Yanga sc kutoka katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi mpaka katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid ulioko …
Featured
-
-
Klabu ya Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya klabu ya Bentford katika mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Brentford Community mjini Brentford, …
-
Yanga sc bado ya moto baada ya jana kuifunga klabu ya Mbuni Fc inayoshiriki ligi ya daraja la kwanza yenye maskani yake jijini Arusha katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa …
-
Mlinda Lango wa Mtibwa Sugar Jeremiah Kisubi hatopata nafasi ya kucheza dhidi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba SC, siku ya Jumamosi (Januari 22) katika mchezo wa ligi kuu …
-
Kinyume na matarajio ya wadau wengi wa soka barani Afrika,Timu ya taifa ya Ghana ‘black Stars’imetupwa nje ya michuano ya Afcon 2022 inayoendelea nchini Cmaeroon baada ya kukubali kichapo cha …
-
Klabu ya Azam Fc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Mbeya kwanza katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine …
-
Klabu ya Mtibwa Sugar imeuhamishia mchezo wake wa ligi kuu dhidi ya Simba sc katika uwanja wa Manungu ulioko mjini Turiani mkoani Morogoro kutoka katika uwanja wa Jamhuri uliopo Morogoro …
-
Awali ilielezwa kwamba dili la kiungo Mukoko Tonombe kwenda kujiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini Congo limekamilika ambapo staa huyo atapishana na winga Chico Ushindi ambaye anakuja Yanga …
-
Pamoja na kuibuka na ushindi dhidi ya klabu ya Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu siku ya Jumapili bado takwimu zinaonyesha kuwa klabu ya Yanga sc msimu huu haishkiki …
-
Klabu ya Simba sc imeshindwa kuibuka na ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City katika mchezo uliofanyika katika uwanja kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Simba sc iliingia …