Ligi kuu ya England imeendelea tena Januari mosi kwa michezo kadhaa huku vinara Man city wakisafiri hadi London kukipiga dhidi ya washika bunduki Arsenal. Mchezo huo wa mapema ulifanyika katika …
English Premier League (EPL)
-
-
Mshambuliaji wa mabingwa watetezi wa kombe la klabu bingwa Ulaya Chesea Romelu Lukaku amesema kuwa kwasasa hajisikii vizuri kwa kipindi anachopitia ndani ya klabu hiyo kutoaminiwa na kocha wake Thomas …
-
Mashetani wekundu Manchester United United imepata pointi tatu muhimu kwenye ligi kuu soka nchini Uingereza na kumaliza mwaka vizuri baada ya kupata ushindi mzuri wa 3-1 dhidi ya Burnley. Katika …
-
Ligi kuu soka nchini Uingereza imeendelea tena usiku wa kuamkia leo kwa mechi mbili ambazo Chelsea walikuwa wakicheza dhidi ya Brighton huku Manchester city wakicheza na Brentoford. Chelsea walikuwa nyumbani …
-
Leicester city wameizuia Liverpool kuendelea kuwabana kileleni vinara Manchester city baada ya usiku wa kuamkia leo kuwapa kipigo cha 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu soka nchini Uingereza. Bao pekee …
-
Ligi kuu soka nchini England imeendelea usiku wa kuamkia leo kwa mchezo mmoja tu uliozikutananisha Newcastle united dhidi ya Manchester united kwenye dimba la St James Park. Weneyji waliuanza mchezo …
-
Ligi kuu ya soka nchini Uingereza(premier league) imeendelea tena wikiendi kwa michezo kadhaa kufanyika siku ya pili ya Christmas ya kufungua zawadi(boxing day) kama ilivyo desturi ya ligi hiyo,uku man …
-
Ligi kuu soka nchin Uingereza itaendelea tena leo Jumapili ya Boxing day kwa mechi takribani sita baada ya kupisha sikukuu ya Christmas kusaka alama muhimu kwenye jedwali la msimamo wa …
-
Chelsea na Liverpool wamedondosha alama mbili muhimu kila mmoja wikiendi hii kwenye ligi kuu soka nchini Uingereza na kuiacha man city ikiongoza gepu la uongozi katika vita ya kuwania taji …
-
Vita ya kuwania taji la ligi kuu soka nchini Uingereza imeendelea usiku wa kuamkia leo ambapo Chelsea alishuka dimbani darajani kuikabilisha Everton,huku Liverpool nao wakiwa nyumbani waliwakaribisha Newcastle United kwenye …