Makamu mwenyekiti wa klabu ya Yanga sc Arafat Haji amesema kuwa klabu hiyo itawafunga timu ya Al Ahly watakapokutana katika mechi za makundi ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika …
Confederation of African Football (CAF)
-
-
Droo ya makundi ya kombe la klabu bingwa barani Afrika imefanyika siku ya ijumaa ambapo jumla ya makundi manne yametangazwa huku klabu ya Yanga sc ikiangukia katika kundi D ambalo …
-
Klabu ya Simba sc licha ya kupata sare ya 1-1 na Power Dynamos ya Zambia katika mchezo wa ligi ya mabingwa barani Afrika uliofanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi …
-
Hatimaye baada ya miaka 25 kupita klabu ya Yanga sc imefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la klabu bingwa barani Afrika tangu ifanye hivyo mwaka 1998 baada ya kuingia …
-
Usajili mpya wa mshambuliaji raia wa Kenya Elvis Rupia umeanza kulipa baada ya kufanikiwa kufunga bao pekee la ushindi katika mchezo wa kombe la shirikisho barani Afrika baina ya timu …
-
Kwa mara ya kwanza tangu mwaka 1998 upo uwezekano wa klabu ya Yanga sc kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 …
-
Zaidi ya mashabiki elfu moja wa klabu ya Yanga sc wamewasili nchini Rwanda kuelekea mchezo wa kwanza wa hatua ya pili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya …
-
Kikosi cha klabu ya Yanga sc kimewasili jijini Kigali Rwanda kwa ajili ya mchezo wa raundi ya pili ya michuano ya klabu binngwa barani Afrika dhidi ya Al Merrikh ya …
-
Kikosi cha Simba sc kimeondoka mchana huu kuelekea Ndola Zambia tayari kwa mchezo wa raundi ya kwanza wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos utakaochezwa Jumamosi hii uwanja …
-
Klabu ya soka ya Yanga sc imetangaza viingilio vy amchezo wake wa kwanza wa hatua ya awali katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi ya Asas Fc ya nchini …