Sasa ni rasmi Uongozi wa klabu ya Yanga utaachana na Strika wao Mkongomani  David Molinga Falcao na nafasi yake kuchuKuliwa na Strika kutoka Tp Mazembe Owe Bonganya baada ya uongozi …
Tag:
biashara united
-
-
Klabu ya Azam fc imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya timu ya biashara united katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Chamazi unaomilikiwa na klabu hiyo. Iliwachukua Azam Fc dakika …
-
Timu ya Kmc imeifunga timu ya Biashara united kutoka mkoani Mara katika mchezo uliofanyika jana mchana ambapo timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya wageni. Kmc ilijipatia …
-
Timu ya Simba sc kesho itasafiri kwenda kanda ya ziwa kucheza na Kagera sugar na Biashara united ya mkoani Mara katika michezo ya ligi kuu Tanzania bara. Simba sc itasafiri …
Older Posts