Kikosi Maalumu cha Kuzuia Magendo Zanzibar (KMKM) kimempandisha cheo nyota wa timu ya Yanga Sc Ibrahim Hamad “Ibra Bacca” kutoka Koplo na kuwa Sajenti kutokana na kuonesha kiwango bora kwenye …
Tag:
Bacca
-
-
Beki wa klabu ya Yanga sc Ibrahim Bacca amekua gumzo katika michuano ya mataifa ya Afrika ambayo inaendelea nchini Ivory Coast ambapo sasa imeingia katika hatua ya 16 bora baada …
-
Rais wa klabu ya Yanga sc Eng.Hersi Said ametangaza neema kwa beki wa klabu hiyo Ibrahim Hamad Bacca kwa kuamua kumuongezea mkataba mpya sambamba na maboresho makubwa ya mshahara wake …