Aliyekuwa kocha wa Simba sc Mbeligiji Patrick Aussems amesema kuwa timu hiyo bado haijawa tayari kupambana katika michuano ya kimataifa licha ya kufanya vizuri katika ligi ya ndani. Aussems aliyeifikisha …
aussems
-
-
Klabu ya Simba SC ya Tanzania imemtangaza mbelgiji Sven Ludwig Vanderbroeck kuwa kocha mkuu wa kikosi hicho akichukua nafasi ya Patrick Aussems aliyefungashiwa virago. Kocha huyo amewahi kufundisha timu ya …
-
Kocha wa Simba sc Patrick Aussems alikua mkali na mwenye hasira baada ya kutoka katika kikao na viongozi wa klabu hiyo kilichofanyika katikati ya jiji la Dar es salaam zilizopo …
-
Wakati kocha mkuu wa timu ya Simba sc Patrick Aussems akiendelea na adhabu kocha msaidizi wa klabu hiyo Dennis Kitambi ameongoza mazoezi asubuhi ya leo yaliyofanyika katika uwanja wa Gymkhana …
-
Timu ya Simba sc imemsimamisha kazi kocha mkuu Patrick Aussems mpaka Novemba 28 mwezi huu ambapo kikao cha bodi ya wakurugenzi kitakapokaa na kutoa maamuzi. Kwa mujibu wa ripoti za …
-
Mashabiki wa Simba sc jana walitoa kali ya kufungia mwaka baada ya kumvamia kocha Patrick Aussems ili kupiga nae picha baada ya mchezo mchezo dhidi ta Ruvu Shooting kumalizika na …
-
Baada ya kocha wa Simba Patrick Aussems kuwasili leo usiku habari za ndani zinadai Aussems hakuwa Belgium kwao, bali alikuwa nchini Afrika ya kusini kuzungumza na Klabu ya Polokwane city …
-
Licha ya kuzagaa kwa tetesi za kusitishiwa ajira yake kunako klabu ya Simba sc kocha Patrick Aussems ameendelea kuinoa timu hiyo kuelekea mchezo wa ligi kuu nchini dhidi ya Ruvu …
-
Ofisa Mtendaji wa klabu ya Simba, Senzo Mazingisa, amesema Kocha Mbelgiji, Patrick Aussems alimtumia ujumbe ukimwarifu kuwa amepatwa na dharura. Taarifa imesema kuwa Aussems alimtumia Mazingisa ujumbe huo lakini hakuanisha …
-
Kocha mkuu wa klabu ya Simba sc Patrick Aussems anatarajiwa kurejea nchini kesho akitokea nchini Ubelgiji ambapo alichukua ruhusa maalumu ya siku mbili. Kocha huyo aliondoka nchini juzi baada ya …