Kocha Cedrick Kaze amethibitisha kuwa kiungo mkongwe Haruna Niyonzima na Carlos Carlinhos ni miongoni mwa mastaa wa klabu ya Yanga sc watakaoikosa derby ya Dar es salaam baina ya Yanga …
afrisoka
-
-
HERSI Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga amesema kuwa mpango mkubwa ni kuona kwamba wanaendelea kutoa bonasi kwa mtindo wa kipekee …
-
Shirikisho la soka barani Afrika limetoa ratiba ya kufuzu michuano ya Afcon 2022 na kombe la Dunia 2022 kwa mataifa wanachama wa shirikisho hilo. CAF walisogeza mbele michuano ya Afcon …
-
Joto la pambano la watani wa jadi limezidi kuchukua sura mpya kufuatia kuambatana na matukio lukuki kabla ya pambano hilo litakalofanyika julai 12. Katika kuhakikisha inaibuka na ushindi katika mchezo …
-
Nyota wa Klabu ya Yanga, Benard Morisson ameamua kurudisha fedha dola 30,000 (zaidi ya Milioni 60 za Kitanzania) kutoka Yanga ambazo zilikuwa fedha za usajili wa mkataba mpya wa miaka …
-
Fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) yaliyotakiwa kufanyika mwaka huu nchini Cameroon yamesogezwa mbele na sasa ni rasmi yatafanyika mwaka 2021 mwezi januari. Tanzania …
-
Klabu ya Yanga sc  imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam baada ya kuifunga timu ya Kagera Sugar kwa mabao 2-1 mchezo uliofanyika …
-
Taarifa za ndani kutoka klabu ya Simba Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohamed  Dewji pamoja na wajumbe wa bodi ya wakurugenzi wamekubaliana kutoa Tsh Milioni 87 za ubingwa kwa …
-
Klabu ya Ndanda fc kutoka Mtwara kesho itakua uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kuivaa Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu nchini. Yanga watalazimika kuifunga Ndanda baada ya …
-
Serikali imepiga marufuku mashabiki wa soka katika mikoa nje ya Dar es Salaam, kuingia viwanjani kutazama mechi za Ligi Kuu zitakazohusisha timu za Simba na Yanga kuanzia leo (Jana) hadi …