Wednesday, May 7, 2025
Home Soka TPLB Yamwaga Fedha Daraja La Kwanza

TPLB Yamwaga Fedha Daraja La Kwanza

by Sports Leo
0 comments

Bodi ya ligi nchini(TPLB)  imetoa shilingi milioni moja (1,000,000) kwa klabu za ligi daraja la kwanza na daraja la pili ili ziwasaidie kumalizia msimu wa 2019/20 unaorejea rasmi kuanzia Juni 20 mwaka huu baada ya kusimama kwa zaidi ya miezi miwili kutokana na janga la corona.

Fedha hizo zimetolewa na bodi hiyo baada ya kuwa na malalamiko kutoka kwa timu hizo shiriki za ligi hiyo zikidai kuwa hazina fedha kutokana na kuathirika na Corona baada ya ligi hizo kusimamishwa huku timu zikihitaji kulipa mishahara ya wachezaji.

banner

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.