Connect with us

Makala

Pogba Mpaka Desemba

Staa wa klabu ya Manchester united Paul Pogba atakuwa nje ya uwanja mpaka mwezi desemba mwaka huu baada ya kupata jeraha la kifundo cha mguu mwezi augosti wakati wa mchezo dhidi ya Southampton.

Akiongea na waandishi wa habari kocha Olle Gunnar Solskjaer amethibitisha kukosekana kwa kiungo huyo mpaka mwishoni mwa mwaka kufuatia kushindwa kupona majeraha yake hayo licha ya kuhudhuria kliniki ya matibabu Dubai mwezi uliopita.

“Sidhani kama tutamuona mapema kabla ya desemba kwani atakua nje ya uwanja kwa siku kadhaa anatakiwa kupata muda wa kupona kabisa”.

Solskajaer

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala