Connect with us

Makala

Mwanamichezo Na Corona

Mwanamama Isabella ambaye ni shabiki mkubwa wa michezo ndiye wa kwanza kugundulika na virusi vya Corona katika ardhi ya Tanzania akitua kwenye uwanja wa KIA siku ya Jumapili 15 March,2020.

Isabella amesema kuwa kwa sasa anaendelea vizuri baada ya kugundulika ana Corona, hivyo tumuombee apone haraka arejee kwenye ubora wake.

“Nilihisi nina virusi vya Corona baada ya kutoka Ubelgiji kwa kuwa virusi hivyo vilishaenea huko na hata baba mwenye nyumba wangu nilipofikia alikuwa tayari ameshaathirika”alisema Isabella

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala