Connect with us

Makala

Mbeya City Wapigwa 4G Na KMC

KMC imeibuka na ushindi wa mabao 4-0 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu bara uliochezwa leo Septemba7 uwanja wa Uhuru.

Mabao ya KMC yalipachikwa na Israel Patrick dakika ya 21 huku lile la pili lilifungwa dakika ya 39 na Hassan Kibunda.

Kipindi cha pili cha mchezo Abdul Hilary wa KMC alipachika bao la tatu kwa pasi ya David Bryson dakika ya 5 na Paul Peter alimalizia mkuki wa mwisho dakika ya 74 kwa pasi ya Kabunda.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala