Tuesday, May 13, 2025
Home Makala Makocha Azam Waongezewa Mikataba

Makocha Azam Waongezewa Mikataba

by Sports Leo
0 comments

Azam Fc imewaongeza muda wa mikataba makocha wake katika benchi la ufundi  kwa ajili ya kuendelea kuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21.

Makocha hao ni kocha mkuu, Aristica Cioaba, kocha msaidizi, Bahati Vivier na kocha wa viungo, Costel Birsan, ambapo kila mmoja ameongeza mkataba wa mwaka mmoja.

Azam Fc waliwatambulisha wachezaji wake wapya pamoja na benchi la ufundi siku ya Jumapili ambalo lilianza kazi kwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc na kuibuka na mabao 2-1 katika uwanja wao wa Azam Complex uliopo Chamazi.

banner

You may also like

Leave a Comment

Soledad is the Best Newspaper and Magazine WordPress Theme with tons of options and demos ready to import. This theme is perfect for blogs and excellent for online stores, news, magazine or review sites.

Buy Soledad now!

Edtior's Picks

Latest Articles

u00a92022u00a0Soledad.u00a0All Right Reserved. Designed and Developed byu00a0Penci Design.