Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga sc Mwinyi Zahera ameipa ushindi klabu ya Yanga sc katika mchezo wa jumapili wa hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho ambao …
Sports Leo

Sports Leo
mwandishi wa habari hizi ana taaluma ya habari na mawasiliano kutoka chuo kikuu cha saut mwanza huku akiwa na uzoefu wa kuandika habari za michezo kwa zaidi ya miaka saba sasa.
-
-
Timu ya wanawake ya klabu ya Simba sc(Simba queens) imeifunga timu ya wanawake ya Yanga Princess mabao 5-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika jijini Dar es salaam. Simba Queens …
-
Mkufunzi wa Manchester City Pep Guardiola anatafakari uwezekano wa kumsajili beki wa kushoto wa Bayern Munich na Austria David Alaba, 28, msimu huu wa joto. (Mirror) Ajenti wa Kevin …
-
Kiungo sukari wa klabu ya Manchester United Bruno Fernandes ameibuka mchezaji bora wa mwezi juni kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuwa na msimu mzuri klabuni hapo. Bruno aliyechangia …
-
Manchester United imeibuka na ushindi wa Mabao 3-0 dhidi ya Aston Vila mchezo wa ligi kuu nchini Uingereza uliofanyika katika uwanja wa Vila Park. Mabao ya Man utd yaliwekwa na …
-
Mwenyekiti Bodi ya wakurugenzi ya klabu ya Simba Mwekezaji wa Klabu hiyo Mohamed Dewji pamoja na viongozi wa Klabu ya Simba wamefanya kufuru Baada ya kuahidi donge nono ili kuifunga …
-
Kuelekea mechi dhidi ya watani wa jadi Simba sc siku ya jumapili klabu ya Yanga sc imewaandalia dau nono wachezaji wa klabu hiyo endapo wataibuka na ushindi katika mchezo huo. …
-
Bao pekee lililofungwa na Bernad Morrison dakika ya 78 limetosha kuipa alama 3 za mchezo klabu ya Yanga sc katika mchezo wa ligi kuu katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera. …
-
Kocha wa klabu ya Simba sc Sven Vandebroek amewaanzisha Benno Kakolanya na Yusuph Mlipili katika mechi dhidi ya Namungo mkoani Mtwara itakayochezwa katika uwanja wa Majaliwa.Kikosi kilichoanza ni: 01. Beno …
-
Bernad Morrison na Erick Kabamba ni miongoni mwa wachezaji watakaoanza kikosi cha kwanza cha Yanga sc wakati ikiivaa Kagera Sugar ligi kuu mjini Kaitaba mkoani Kagera. Kikosi Kinachoanza ni: 1. …