Connect with us

Soka

Corona Yaua Rais Marseille

Aliyekuwa rais wa zamani wa klabu ya soka ya Marsielle ya nchini Ufaransa  Pape Diouf amepoteza maisha baada ya kuambukizwa corona akiwa na miaka 68.

Alikuwa raisi wa klabu ya Marseille tokea 2005-2009. Katika uongozi wake klabu ilifanikiwa kumaliza nafasi ya 2 (2006 & 2009.)

Diouf alikuwa mwandishi wa habari kutoka Senegal na kuhamia Marrseille akiwa na miaka 8 ndipo alipoanza kazi yake ya uandishi kwenye gazeti la jiji na Baadae aliamua kuwa wakala wa wachezaji. Alikuwa wakala wa Basile Boli, Joseph Antoine Bell na wengineo.

Aliisaidia Marseille kunyakua kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi mwaka 2006 na kwa mara ya kwanza tokea 1998 huku pia Akiisaidia pia kunyakua ubingwa wao kwanza kwa kipindi cha miaka 10.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka