Connect with us

Soka

Aussem Kurejea Kesho

Kocha mkuu wa klabu ya Simba sc Patrick Aussems anatarajiwa kurejea nchini kesho akitokea nchini Ubelgiji ambapo alichukua ruhusa maalumu ya siku mbili.

Kocha huyo aliondoka nchini juzi baada ya kuomba ruhusa kwa ajili ya kushughulikia matatatizo binafsi ya kifamilia na anatarajiwa kurejea kesho kwa ajili ya kuwahi maandalizi ya mchezo dhidi ya Ruvu Shooting jumamosi ijayo.

“Niliondoka kwa siku mbili kwa mambo ya kifamilia,nitarejea Tanzania kesho kwa ajili ya kuiandaa timu kwa mchezo dhidi ya Ruvu shooting kupata pointi tatu zaidi”.Alisema kocha huyo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka