Msafara wa kikosi cha timu ya Yanga sc tayari kimewasili mjini Unguja Visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa pili wa marudiano hatua ya pili ya …
zanzibar
-
-
Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) limetangaza kwamba klabu 16 zitashiriki michuano ya Kagame Cup inayotarajiwa kuanza Julai 6 hadi 22 mwaka huu Visiwani …
-
Ligi kuu ya soka Visiwani Zanzibar inatarajiwa kusimama kwa kipindi cha mwezi mmoja ili kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na bodi inayosimamia ligi …
-
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkuu wa masoko na mauzo wa timu ya Chelsea ya England Barnes Hampel pamoja ujumbe …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo wa JKU ya Zanzibar Shekhan Ibrahim Khamis (18) kwa mkataba wa miaka mitatu ikiwazidi kete klabu za Simba sc na Coastal …
-
Beki wa klabu ya Yanga sc Ibrahim Hamad maarufu kama Bacca ameongeza mkataaba wa kuendelea kusalia katika klabu ya Yanga sc kwa kipindi cha miaka mitatu ambapo atakaa klabuni hapo …
-
Klabu ya Simba sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Malindi Fc katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa Amani mjini Unguja bao la Nassoro Kapama ambaye …
-
Tunombe mukoko ameiongoza Yanga Sc kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa siku ya jana katika uwanja wa Azam Complex uliopo …
-
KMKM Sc ya Zanzibar tayari imewasili leo jijini Dar tayari kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Yanga Sc utakaochezwa leo Septemba 30,uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi. Mchezo huo …
-
Timu ya Jang’ombe Boys ipo tayari kujitoa Ligi Kuu Zanzibar kutokana na ukata wa fedha, timu hiyo haijaanza hata mazoezi kwa sababu haina fedha za uendeshaji. Juni 24 ligi kuu …