Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini imehamia kwa kocha wa klabu ya Simba Sc Fadlu Davis Baada ya kuambiwa kuwa José Luis Riveiro hatokuwa sehemu ya benchi la ufundi …
tetesizausajiliulaya
-
-
Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini Imefungua mlango wa mazungumzo na Uongozi wa klabu ya Yanga sc ya Tanzania kuona kama wanaweza kumpata Mlinda lango huyo bora kwenye dirisha …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua amezua kizaazaa baada ya kusua sua kusaini mkataba mpya klabuni hapo baada ya ule wa awali kuelekea ukingoni ambapo kuanzia Januari …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Yanga sc Pacome Zouzoua yupo kwenye mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya klabuni hapo ambapo amedaiwa kuhitaji dau kubwa la usajili ili kusaini mkataba huo. Mkataba …
-
Beki wa zamani wa klabu ya Simba Sc Israel Mwenda amegoma kujiunga na kambi ya timu ya Singida Black Stars iliyomsajili hivi karibuni kutokana na kutomaliziwa fedha za usajili walizokubaliana. …
-
Klabu ya Azam Fc imewasiliana na uongozi wa Kipa AbouTwalib Mshery ili kumsajili baada ya kushindwa kumbakisha kipa Mustapha Mohamed aliyeko kwa mkopo kutokea klabu ya El Merrekh Fc ya …
-
PSG wanajiandaa kuwasilisha ombi la kumsajili mshambuliaji wa Chelsea Romelu Lukaku kama mbadala wa Mfaransa Kylian Mbappe anayehusishwa kuondoka ndani ya miamba hiyo.Daily express) Newcastle inataka kumsajili mshambuliaji wa Burnley …
-
Kocha wa Manrochester United Ralf Rangnick amemwambia winga Amad Traore kuwa hayupo kwenye mipango yake hivyo wanataka mkumtoa kwa mopo,PSV ya Uholanzi ndiyo inatajwa kuhitaji saini ya kinda huyo.(Manchester Evening …
-
Mgogoro unaoendelea kati ya mshambuliaji asiye na furaha wa Chelsea Romelu Lukaku huenda ukapelekea mchezaji huyo ajiunge na kocha wake wa zamani Antonio Conte katika klabu ya Tottenham.(Gazzetta Dela Sport) …
-
Tottenham Hotspur wanataka kumsajili winga hatari wa Wolverhampton Adama Traore katika dirisha dogo la uasjili mwezi Januari.(Fabrizio Romano) Chelsea watatakiwa kumpa mkataba mnono mlinzi wa kati Antonio Rudiger ili kusaini …