Klabu ya Simba sc imekubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Tanzania Prisons Fc katika mchezo uliofanyika katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro ikiwa ni mchezo wa raundi ya 16 …
Tanzania prisons
-
-
Klabu ya Tanzania Prisons imelazimisha sare dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu nchini uliofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya baada ya mchezo kumalizika kwa 1-1. Mchezo …
-
Nyota wa Tanzania Prisons Jeremia Juma amekumbana na adhabu ya kufungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya shilingi milioni moja baada ya kumkanyaga nyota wa Yanga Yao kouassi kwenye mechi …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu muhimu mbele ya Tanzania Prisons baada ya kuifunga 2-1 katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya huku …
-
Klabu ya Simba sc sasa ipo kileleni mwa msimamo wa ligi kuu nchini baada ya kupata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika …
-
Klabu ya Tanzania Prisons Fc imekubali kipigo cha mabao 7-1 kutoka kwa Simba sc katika mchezo wa ligi kuu nchini ukiofanyika katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam. …
-
Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa adhabu ya kutosajili kwa kipindi cha dirisha moja kwa klabu za Singida Big Stars …
-
Tofauti na msimu uliopita Simba sc imefanikiwa kupata alama tatu katika mchezo wake wa kwanza nje ya mkoa wa Dar es salaam baada ya kuifunga Prisons Fc 1-0 bao la …
-
Kufuatia kupata sare dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Benjamini Mkapa jijini Dar es salaam kocha wa klabu ya Yanga sc Nasredine Nabi …
-
Simba Sc ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu bara ,leo Octoba 22,2020 wamekubali kipigo kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa ligi msimu huu wa 2020/2021 cha bao 1-0 …