Kocha wa klabu ya Manchester United Olle Gunnar Solskjaer amewavaa wachezaji wa klabu hiyo baada ya kuruhusu kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa wapinzani wao Manchester city katika mchezo wa …
Solskjaer
-
-
Kocha wa timu ya Manchester United Olle Gunnar Solskajaer anakabiliwa na hatihati ya kutimuliwa klabuni hapo endapo atapoteza mchezo wa ligi kuu dhidi ya Liverpool katika uwanja wa Old Trafford …
-
Baada ya sekeseke la muda mrefu hatimaye kipa wa Manchester united David De Gea amesaini mkataba mpya utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2023 huku akiwa kipa anayelipwa zaidi duniani. De …
-
Nahodha wa Sporting Lisbon Bruno Fernandes ameangua kilio wakati akiicheza timu hiyo mechi ya mwisho dhidi ya Valencia akijiandaa kukamilisha uhamisho wake kujiunga na Manchester united kwa thamani ya paundi …
-
Mkufunzi wa timu ya manchester united Ole Gunnar Solskjaer amethibitisha kuwa kiungo Paul Pogba atasalia klabuni hapo kwa msimu ujao wa ligi kuu ya Uingereza licha ya kuvutika na uhamisho …