All posts tagged "simba sc"
-
Makala
/ 3 years agoSimba Ashindwa Kufurukuta Kwa Tanzania Prisons
Simba Sc ambao ni mabingwa watetezi wa ligi kuu bara ,leo Octoba 22,2020 wamekubali kipigo kwa mara ya kwanza tangu kuanza...
-
Makala
/ 3 years agoDube Wa Azam Ajipa Majukumu Mapya
Mzimbabwe wa Azam Fc,Prince Dube ameweka wazi kuwa ishu kubwa kwake siyo kufunga mabao bali kuwatengenezea wenzake nafasi ya kufunga wakiwa...
-
Makala
/ 3 years agoAzam Fc Yaweka Rekodi Ligi Kuu
Azam Fc imezidi kujiwekea rekodi nzuri ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu bara 2020/2021 baada kufika raundi ya sita...
-
Makala
/ 3 years agoChama Bado Yupoyupo Msimbazi
Mchezaji wa Simba Sc ambaye ni raia wa Zambia ,Clatous Chama ameeleza kuwa bado ana mipango ya kubakia kukipiga msimbazi kwani...
-
Makala
/ 3 years agoJKT Washindwa Mziki Wa Simba
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana...
-
Soka
/ 4 years agoBuku Tatu Kuiona Simba,Biashara
Timu ya Simba sc imetangaza viingilio vya mechi dhidi ya timu ya Biashara United siku ya jumapili ambapo kiingilio cha chini...
-
Makala
/ 4 years agoTusimbeze Morrison Kisa Mechi Mbili
Wasalaam wapenzi wa soka nchini,Hatuna budi kuwa na furaha kutokana na muelekeo wa soka letu hasa ukilinganisha na nchi jirani kama...
-
Makala
/ 4 years agoMorrison Atajwa Kutua Simba Sc
Inaelezwa kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison anaweza kuonekana akiwa kwenye uzi mweupe na mwekundu kwani tayari amemalizana na uongozi wa...
-
Makala
/ 4 years agoMabingwa Fainali FA Wapokelewa Dar Leo
Kikosi cha Simba kimewasili leo jijini kikitokea Sumbawanga ambapo kilikuwa na mchezo wa fainali dhidi ya Namungo FC ambao walipigwa mabao...
-
Makala
/ 4 years agoChama Atwaa Tuzo Fainali FA
Nyota wa kikosi cha Simba,Clautos Chama amekabidhiwa leo tuzo ya mchezaji bora wa mashindano ya Kombe la Shirikisho. Simba imetwaa taji...