Uongozi wa Klabu ya Yanga sc umethibitisha kupokea majibu kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Usuluhishi wa Michezo (CAS) kuhusu kesi yao namba CAS 2025/A/11298 iliyoifungua kupinga maamuzi ya bodi ya …
Nbc
-
-
Bodi ya ligi kuu nchini ( TPLB ) imetangaza mabadiliko ya kurejea kwa michezo ya ligi kuu ( NBC ) kuanzia Februari mosi mwaka huu badala ya Machi mosi ambayo …
-
Timu ya Fountain Gate Fc imeibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Klabu ya Kmc Fc katika mchezo wa ligi kuu uliofanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo mjini …
-
Klabu ya soka ya Singida Black Stars imeendelea kung’angania kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo Fc …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuwasili salama jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa pili wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Kengold Fc utakaofanyika kesho Septemba …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuutaawala usiku wa Tuzo za ligi kuu ya Nbc nchini pamoja na zile za kombe la shirikisho la ASFC baada ya mastaa wa klabu hiyo …