Taarifa kutoka nchini Kenya Zinadai Bandari Fc inajiandaa kumtimua kocha Benard Mwalala kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo ambayo imekutana na vipigo mfululizo kutoka kwa Kariobang Sharks na Tusker …
Tag:
mwalala
-
-
Klabu ya Yanga ipo mbioni kumteua kocha wa timu ya Bandari fc ya Kenya Ben Mwalala kuwa kocha wa timu hiyo kuchukua nafasi ya Mwinyi Zahera ambaye amefungashiwa virago jana. …
-
Klabu ya Yanga sc imeachana na kocha Mwinyi Zahera baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha uwanjani licha ya usajili kabambe ambao ulifanyika msimu huu kwa mapendekezo ya kocha huyo. Zahera …