Aliyekua mshambuliaji wa klabu ya Mashujaa Fc Ismail Mgunda ameondoka nchini leo hii kuelekea nchini DR Congo kujiunga na timu ya As Vita iliyomsajili katika dirisha dogo la usajili mwezi …
mgunda
-
-
Mshambuliaji wa klabu ya Mashujaa Fc Ismail Mgunda amerejea nchini baada ya dili lake kujiunga na klabu ya As Vita ya nchini Dr Congo kufeli kwa sababu za kimaslahi. Mgunda …
-
Klabu ya Namungo Fc imemuajiri kocha Juma Mgunda kuionoa klabu hiyo katika ligi kuu ya Nbc nchini baada ya kuwa na mwenendo usioridhisha hali inayotishia nafasi ya klabu hiyo kubaki …
-
Klabu ya Simba queens imeachana na kocha wake mkuu Juma Mgunda kutokana na kocha huyo kumaliza mkataba wake klabuni hapo. Mgunda aliyeajiriwa kama kocha msaidizi wa timu ya wanaume akitokea …
-
Klabu ya Namungo Fc inasemekana iko mbioni kuachana na kocha Mwinyi Zahera ambapo sasa imeamua kutua kwa kocha Juma Mgunda kuionoa klabu hiyo katika ligi kuu ya Nbc sambamba na …
-
Kocha Juma Mgunda amekabidhiwa majukumu mapya ya mkurugenzi wa ufundi ndani ya klabu ya Simba sc ambapo atahusika na soka la vijana,wanawake na akiwa pia ni mshauri wa timu kubwa …
-
Mabosi wa klabu ya Simba sc wana mpango wa kumhamishia kocha Juma Mgunda kuwa kocha mkuu wa klabu ya Simba queens ili kupisha nafasi ya kocha Roberto Oliveira kuja na …
-
Aliyekua mchezaji wa zamani wa Simba sc na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Jamhuri Kihwelo Julio amesema kuwa kocha Juma Mgunda alikua anatosha katika nafasi ya kocha mkuu …
-
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Cletous Chama pamoja na kocha wake Juma Mgunda kwa pamoja wametwaa tuzo ya mchezaji bora na kocha bora wa mwezi Disemba mwaka jana …
-
Mabosi wa klabu ya Simba sc wamempa kocha Juma Mgunda huduma sawa na wanazopewa makocha wa kigeni wakiwemo kina Zoran Maki na Didier Gomez walipokua wakiifundisha klabu hiyo kwa nyakati …