Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime anatajwa kutua jangwani muda wowote kumsaidia Bonifasi Mkwasa baada ya timu hiyo kuvunja benchi la ufundi lililokua likiongozwa na Mwinyi Zahera na Noel Mwandila. …
Tag:
mexime
-
-
Kocha wa Kagera Sugar Mecky Mexime ameukubali uwezo wa kikosi cha Simba baada ya kufungwa mabao 3-0 katika uwanja wa nyumbani wa Kaitaba uliopo mjini Bukoba mkoani Kagera mchezo uliofanyika …