Klabu ya Everton imemteua mchezaji wa zamani wa klabu ya Chelsea Frank Lampard kuwa kocha mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili na nusu ambapo tayari kocha huyo …
lampard
-
-
Tetesi zinaeleza kuwa kocha mkuu wa Chelsea,Frank Lampard anahitaji saini ya nyota wa Juventus,Paulo Dybala ili awe ndani ya kikosi hicho cha The Blues. Dybala mwenye miaka 26 raia wa …
-
Klabu aliyotoka nahodha wa kitanzania Mbwana Samatta ya huko Uingereza,Aston Villa imemsajili Ross Barkley kutoka Chelsea kwa mkopo hadi mwisho wa msimu wa 2020/2021. Kiungo huyo wa kimataifa alisajiliwa na …
-
Taarifa zinaeleza kuwa Chelsea ipo tayari kumtoa kipa wao namba moja, Kepa Arrizabalaga kwa mkopo baada ya kumpata mbadala wake ambaye ni Edouard Mendy kutoka klabu ya Rennes. Inaelezwa kuwa …
-
Kai Havertz ambaye ni kiungo mpya wa Chelsea ameeleza sababu kubwa iliyomfanya asaini ndani ya klabu hiyo ni kutokana na kuvutiwa na kocha mkuu wa timu hiyo, Frank Lampard kwani …
-
Arsenal imekamilisha usajili wa winga Mbrazil,Willian Borges Da Silva kwa dili la miaka mitatu leo Agosti 14 akiwa kama mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Chelsea. Willian amedumu …
-
Mkurugenzi wa michezo katika klabu ya PSG,Leonard anammezea mate kipa wa Ac Milan ,Gianluigi Donnarumma lakini anapata presha kutoka kwa kocha mkuu wa Chelsea ,Frank Lampard ambaye pia anahitaji wino …
-
Kocha wa klabu ya Ajax Amsterdam, Eric Tel Hag, amethibitisha kuwa kiungo wake, Hakim Ziyech, atajiunga na klabu ya Chelsea mwishoni mwa msimu baada ya pande mbili kufikia makubaliano. Ajax …
-
Chelsea ipo mbioni kumuongezea kandarasi mpya nyota wake, Antonio Rudiger licha ya nyota huyo kuwa nje kutokana na majeraha klabu hiyo inahofia nyota huyo kusajiliwa na klabu nyengine uku mkataba …
-
Kiungo wa kati wa Chelsea na Ufaransa N’Golo Kante, mwenye umri wa miaka 28, amekana taarifa zinanazomuhusisha na kuhamia katika klabu ya Real Madrid na anasema kuwa anaweza kumalizia taaluma …