Kutokana na mvua kubwa kunyesha leo Jijini Dar-es-salaam,imepelekea mechi ya kirafiki ya Simba Sc dhidi ya Ndanda Fc kughairishwa. Mechi hiyo ilitakiwa kuchezwa leo Octoba 13, majira ya saa 11:00 …
Tag:
kirafiki
-
-
Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)imepokea kichapo mbele ya Burundi cha bao 1-0 kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa leo Octoba 11,uwanja wa Mkapa. Kwenye mchuano huo wa leo ambapo …
-
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anategemewa leo kuwa mgeni rasmi wa mechi ya kirafiki iliyopo kwenye ratiba ya FIFA baina ya Taifa Stars ya Tanzania na timu ya Taifa …
-
Baada ya kubainika kuwa makipa wote wa Ukraine 1 hadi namba 3 wana Corona katika mchezo wa kirafiki uliochezwa kati ya Ufaransa na Ukraine siku ya jana Octoba 7,2020 kocha …
-
Mbwana Samatta amewasili leo kwa ajili ya kujiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania inayojiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Burundi utakaochezwa Oktoba 11 Jumapili kabla ya …