Rasmi sasa Mchezo wa KenGold dhidi ya Simba Sc utachezwa katika dimba la KMC June 18 japo hapo awali ilipangwa mchezo huo uchezwa katika dimba la Majimaji Mkoani Ruvuma. Bodi …
Kengold Fc
-
-
Klabu ya Yanga sc imeweka historia ya kufunga mabao mengi katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini msimu huu baada ya kuifunga Kengold Fc 6-1 katika mchezo wa ligi …
-
Pamoja na shauku ya mashabiki wa klabu ya Kengold Fc kumuona uwanjani mshambuliaji wao mpya Bernard Morrison itawalazimu kusubiri kwa muda kutokana na staa huyo kutokua fiti kutumika katika michezo …
-
Kocha mpya wa Kengold Fc Vladislav Heric amekuja Tanzania akiwa na Jukumu la kuhakikisha wakazi wa Chunya wanaendelea kuiona timu yao katika ligi kuu ya Nbc nchini. Heric ni miongoni …
-
Nyota wa zamani wa klabu za Simba Sc na Yanga Sc Bernard Morrison yupo mbioni kujiunga na Klabu ya Kengold Fc yenye makazi yake Wilayani Chunya Jijini Mbeya. Nyota huyo …
-
Washambuliaji Obrey Chirwa na Stephen Sey wapo katika hatua za mwisho kujiunga na timu ya Kengold Fc ili kuinusuru na kushuka daraja katika ligi kuu ya Nbc nchini. Kengold Fc …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuchukua alama tatu katika mchezo wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Kengold Fc uliofanyika katika uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine jijini Mbeya. Ikianza …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuwasili salama jijini Mbeya kwa ajili ya mchezo wa pili wa ligi kuu ya Nbc nchini dhidi ya Klabu ya Kengold Fc utakaofanyika kesho Septemba …