Msafara wa kikosi cha timu ya Yanga sc tayari kimewasili mjini Unguja Visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa pili wa marudiano hatua ya pili ya …
Confederation of African Football (CAF)
-
-
Kufuatia kupata ushindi kiduchu wa bao 1-0 dhidi ya Cbe SA ya nchini Ethiopia katika mchezo wa kwanza wa hatua ya pili ya michuano ya klabu bingwa barani Afrika kocha …
-
Msafara wa kikosi cha timu ya Simba Sc mapema kimeanza safari ya kuelekea nchini Libya tayari kwa mchezo wa hatua ya pili michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi …
-
Klabu ya Yanga sc imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Vital O ya Burundi katika mchezo wa marudiano wa hatua ya awali ya michuano ya klabu bingwa …
-
Klabu ya Azam Fc imekubali kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa marudiano wa michuano ya klabu bingwa barani Afrika hatua ya awali uliofanyika katika uwanja wa Amahoro jijini Kigali …
-
Msafara wa kikosi cha timu ya Azam fc umewasili salama nchini Rwanda kwa ajili ya mchezo wa pili wa hatua za awali za michuano ya klabu bingwa barani Afrika dhidi …
-
Klabu ya Azam Fc imeanza michuano ya kombe la Klabu bingwa barani Afrika kwa ushindi kiduchu wa 1-0 dhidi ya Apr ya Rwanda katika mchezo wa hatua ya awali ya …
-
Klabu ya soka ya Vital O kutoka nchini Burundi imekubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Yanga sc katika mchezo wa kwanza wa hatua ya awali dhidi ya Yanga sc …
-
Baada ya kutamatika kwa pazia la ligi kuu nchini ambapo jumla ya michezo 30 imemalizika kwa timu zote 16 za ligi kuu na klabu ya Yanga sc kumaliza kuwa mabingwa …
-
Kikosi cha klabu ya Mamelod Sundowns tayari kimewasili nchini usiku ya machi 28 kuwakabili Yanga sc siku ya Jumamosi katika mchezo wa kwanza wa robo fainali ya michuano ya klabu …