Mahakama Kuu ya Tanzania imeipa ushindi Azam Media Limited katika kesi ya madai ya haki miliki iliyofunguliwa na bondia Amos Mwamakula kutokana na kampuni hiyo kutumia wazo la mashindano ya …
azamtv
-
-
Bondia Mtanzania Amosi Mwamakula ametakiwa kulipwa Fedha za Kitanzania Tsh. Milioni 250 na Kampuni ya Azam Media Limited baada ya kushinda Kesi katika Mahakama ya Kinondoni Jijini Dar es salam. …
-
Baada ya kufanikiwa kuifunga 2-0 timu ya Mtibwa Sugar sasa klabu ya Azam Fc imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la shirikisho nchini ambalo linaendelea kwa …
-
Meneja mawasiliano wa klabu ya Simba sc Ahmed Ally amesema kwamba klabu hiyo imekusanya jumla ya kiasi cha Tsh 60 milioni pekee kwa ajili ya ujenzi wa uwanja ikiwa ni …
-
Klabu ya Yanga sc itavaana na Geita Gold Fc katika mchezo wa robo fainali kombe la shirikisho nchini mchezo ambao utafanyika siku ya Jumapili April 10 jijini Dar es salaa …
-
Prince Dube mwenye hasira ya kuchukua kiatu cha dhahabu ndani ya msimu huu mpya wa ligi kuu 2020/2021 ambacho kwa sasa Meddie Kagere anakishikilia ,anazidi kujiwekea akiba ya mabao ndani …
-
Simba Sc imewapa kichapo cha mabao 4-0 JKT Tanzania katika mchezo wa raundi ya tano ya ligi kuu bara uliochezwa jana uwanja wa Jamuhuri mkoani Dodoma majira ya Saa 8:00mchana. …
-
Jumamosi kikosi cha Yanga kitashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Mchezo huo utapigwa saa moja jioni Bila shaka itakuwa siku nyingine …
-
Shirikisho la soka nchini Tanzania limesaini mkataba wa miaka minne na kampuni ya Azam Media kwa ajili ya kuonesha moja kwa moja mechi za Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa …
-
Baada ya jana kushindwa kuonyesha michezo hiyo ya mtoano kutokana na vurugu,Bodi ya ligi imeiomba kampuni hiyo kuonyesha live michuano hiyo ambayo itaendelea leo jioni.