Wadau wengi wa soka nchini wamebaki midomo wazi kufuatia uteuzi wa kikosi cha Timu ya wakubwa ya Tanzania(Taifa Stars) baada ya majina makubwa mawili kutojumuishwa katika kikosi hicho ambao ni …
AFCON
-
-
Mshambuliaji wa klabu ya Simba sc Pape Osman Sakho amefanikiwa kutwa tuzo ya goli bora barani Afrika katika michuano ya klabu bingwa ambapo amepata tuzo hiyo inayotolewa na shirikisho la …
-
Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars)Etienne Ndayiragije amesema kuwa amekiandaa kikosi chake vizuri kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Afcon kesho Novemba 13 ,dhidi ya Tunisia …
-
Kiungo wa klabu ya Simba sc Cletous Chama ameitwa katika timu ya Taifa ya Zambia(Chipolopolo) inayojiandaa na mchezo wa wa kufuzu Afcon ambapo itamenyana na Botswana, Novemba 12 nchini Zambia. …
-
Jacob Mulee ametangazwa jana Octoba 21 na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Kenya (FKF),Nick Mwendwa kama kocha mkuu wa timu ya taifa ya Kenya Hrambee Stars. Mulee mwenye …
-
Shirikisho la soka barani Afrika limetoa ratiba ya kufuzu michuano ya Afcon 2022 na kombe la Dunia 2022 kwa mataifa wanachama wa shirikisho hilo. CAF walisogeza mbele michuano ya Afcon …
-
Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limesitisha mechi zote za kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa Corona barani Afrika. Caf …
-
Penati ya utata dakika ya 68 imechangia kufungwa kwa timu ya taifa ya Tanzania kwa mabao 2-1 na Libya mchezo wa kuwania kufuzu fainali za mataifa ya Afrika nchini Cameroon …
-
Timu ya Taifa Taifa Stars imetua nchini Tunisia kwa mchezo wa pili wa Kundi J dhidi ya Libya utakaochezwa Jumanne Novemba 19. Taifa Stars imetua na Kikosi cha Wachezaji 22 …
-
Mabao ya Saimon Msuva 68′ na Abubakar Salum 90+4 yalitosha kuipa ushindi wa 2-1 timu ya taifa ya Tanzania(Taifa stars) dhidi ya Equatorial Guinnea katika mchezo wa kuwania kufuzu fainali …