Yanga Yaanza Mazoezi

0

Klabu ya soka ya Yanga sc imeanza mazoezi rasmi kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara leo ambapo jumla ya wachezaji tisa wamehudhuria.

Mazoezi hayo yamefanyika katika chuo cha sheria jijini Dar es salaam ambapo wachezaji wapya wa ndani wamehudhuria huku wale wa kigeni wakikosekana akiwemo Haruna Niyonzima mwenye ruhusa maalumu.

Licha ya timu hiyo kutokua na kocha mazoezi yamesimamiwa na kocha wa viungo wa klabu hiyo Lord Bierdien pamoja na kocha wa fizikia.

Leave A Reply

Your email address will not be published.