Connect with us

Soka

Yanga Kumekucha

Kuelekea mechi dhidi ya watani wa jadi Simba sc siku ya jumapili klabu ya Yanga sc imewaandalia dau nono wachezaji wa klabu hiyo endapo wataibuka na ushindi katika mchezo huo.

Akizungumza hivi leo mkuregenzi wa uwekezaji wa Gsm Tanzania kampuni ambayo inashughulikia masuala ya usajili klabuni hapo Enjinia Hersi Said alisema kwamba timu hiyo imeendaa zawadi nono kama ilivyo kawaida yake.

“Tumeandaa kambi nzuri na bonasi za wachezaji kuelekea mchezo ujao wa nusu fainali dhidi ya Simba, lengo ni kuwaongezea morali wachezaji ya kupambana ili malengo yetu ya kuchukua kombe hilo yatimie”Alisema Hersi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka