Connect with us

Soka

Viingilio Yanga,Simba Hadharani

Viingilio baina ya mchezo wa watani wa jadi Yanga sc dhidi ya Simba vimewekwa hadharani ikiwa ni siku tano kabla ya mchezo husika ambao unavuta hisia za wapenzi na mashabiki wa soka nchini.

Mchezo huo unaotarajiwa kufanyika siku ya Jumamosi Novemba 7 kiingilo cha juu katika jukwaa la watu mashuhuri(Vip A) kitakua shilingi elfu 30 huku jukwaa la V.I.P B ikiwa ni shilingi elfu 20 na V.I.P C ikiwa ni elfu 15 na sehemu ya kawaida itakua shilingi elfu 10.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka