Home Soka Sven Awafungukia Ajib,Kichuya

Sven Awafungukia Ajib,Kichuya

by Sports Leo
0 comments

Kocha wa Simba sc Sven Vandenbroeck amefunguka sababu hasa ya kuwaweka benchi mastaa wa timu hiyo hasa Ibrahim Ajibu na Shiza Kichuya kuwa ni kutokana na kushindwa kumshawishi anapowapa nafasi.

mastaa hao pamoja na wengine kama Said Ndemla,Gadiel Michael wamekua wakipata nafasi mara chache tofauti na mastaa wengine ambao wanacheza nafasi hizo.

Sven alikiri kuwa kuna mastaa hufanya vizuri zaidi yao ndio maana huwaweka benchi na kuwapa nafasi wenzao ambao hufanya vizuri.

banner

“Kuna wachezaji wengi na wote ni wazuri hivyo kinachonifanya nisiwatumie wachezaji wengine ni kushindwa kwao kunishawishi, wakipata nafasi wanatakiwa kuonyesha uwezo wao wote,” amesema.

You may also like

Leave a Comment

Sportsleo Bongo ni tovuti ya kwanza na bora zaidi ya michezo nchini Tanzania, ikileta habari kwa Kiswahili, matokeo ya moja kwa moja, tetesi, na taarifa muhimu kuhusu soka, ndondi, riadha na michezo mingine ndani na nje ya Tanzania.

Edtior's Picks

Latest Articles

Sportsleo Bongo Developed and designed by Mediapix Limited